Friday, May 2, 2014

SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA?



SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA?
NDUGU WAPENZI AKINA MAMA WASOMAJI WA MAKALA ZANGU. LEO SITOKUWA NA MENGI BALI NAHITAJI KUWAPA MACHACHE KUHUSU SARATANI YA MATITI AMA SARATANI YA ZIWA KAMA WENGINE WANAVYOIITA. NAHITAJI KUWAPA DALILI NA DAWA YA KUTIBU MARADHI HAYA
DALILI
I) Katika hali ya kawaida mtu anaesumbuliwa maradhi haya , ngozi ya titi huonesha hali ya kubadilika na kuwa kavu na hukoza kidogo.
2) Chuchu ama vijana huita NIDO, husimama na baada ya siku chache hulegea na kuinamia chini. Huwa zinajivuta kidogo. Dalili hii mara nyingi huambatana na utokaji wa damu kwenye chuchu.
3) Titi/ziwa huvimba ama kwa baadhi ya wengine hufanya uvimbe kama jipu ndani ya titi/ziwa
4) Ziwa/titi huwasha au huuma sana. Baadhi ya siku huleta homa.
5) Mwili huchoka sana na mgonjwa huhisi uvivu kufanya kazi

MATIBABU
Dawa ya kansa/saratani ya titi ipo. Ni dawa ya miti shamba iliyotengenezwa vizuri ikiwa katika hali ya mafuta. Si dawa mbaya kutumia kwani ni mafuta ya kujipaka tu juu ya titi. Dawa hii ni muokozi wa walio wengi kwani ina gharama nafuu sana. Dawa hii BC Oil inapatikana kwa shilingi elfu 10,000/.00. Dawa hii unaweza kutumia kwa miezi miwili hadi mitatu, ambapo tatizo lako litakuwa limemalizika.

Je? Ni faraja kiasi gani hii akina mama?.

USHAURI
-         Kama unasumbuliwa na maradhi tuone tukusaidie kwa gharama nafuu sana
-         Pata ushauri wa Daktari aliyekaribu nawe
-         Usipasue uvimbe bila kupata ushairi wa daktari
-         Ondoa imani ya kishirikina juu ya maradhi haya
-         Usimfiche mumeo, kuwa nae karibu na saidianeni katika tiba

Mawasilisano
Wasilsiana na Mtalaam wa dawa za miti shamba
Yussuf H. Kombo  (Yussuf Kombo)
Simu Namba +255 713 459447   au +255 772 371701
Zanzibar - Tanzania

Wednesday, November 6, 2013


Team of Zanzibar herbalists: From Right: Madawa, Yussuf H Kombo, Sinani and the late Mkenya



Zanzibar herbalist Mr. Yussuf Kombo (standing) explaining the role and potential of Jozani forest in fostering Zanzibar economy, livelihood of the surrounding communities, international reputations and herbal medicines to the former president of Zanzibar Dr. Salmin  Amour Jumah (1992 at Jozani)
 


yhkombo@yahoo.com
Zanzibar herbalsit Mr. Yussuf H. Kombo explaining the imporatance of herbal medication to the former chief minstre of Zanzibar Dr. Shamsi Vuai Nahodha
 


Zanzibar herbalist Mr. Yussuf H Kombo explaining the  role of Zanzibar spices and herbs to Zanzibar economy, livelihood and social relations to the high highness prince Charles and his wife Camila


========================================
MORE INFORMATION ON MR. KOMBO AND HIS EXPERINCE VISIT THE FOLLOWING WEB SITES

http://kombo-mangroves.blogspot.com/